Nini kusudi la Maisha?

Swali hili limeulizwa kwa karne nyingi. Biblia inatupa jibu lililo wazi.

Maisha ni
mahusiano

Kuanzia kitabu cha Mwanzo hadi kitabu cha Ufunuo Biblia inashirikisha ujumbe wa mahusiano. Ujumbe huu unaitwa Injili (au habari njema).
Wakati mtu anaelewa ujumbe wa Mungu na kukumbatia  karama ya uzima wa milele, sio kwamba atagundua kusudi la maisha tu, bali hasa Maisha yenyewe.

“Yesu akamwambia, Mimi ndimi njia, na kweli, na uzima…”
– Yohana 14:6

Ninawezaje Kupokea
Uzima wa Milele?

Mtu hupokea uzima wa milele kwa kuweka imani katika yale ambayo Yesu amewafanyia. Yesu alikufanyia nini? Alikufa msalabani kwa ajili ya dhambi zako, alifufuka kutoka kwa wafu ili uwe na uzima, na anatoa uzima wa milele kwa yeyote ambaye atatubu dhambi zake kwa kuweka imani katika Kristo.
“Anayemwamini Mwana yuna uzima wa milele.” — Yohana 3:36

Uhusiano wa upatanisho unaweza kuanza na maombi rahisi.

Kumfuata Yesu ni safari ambayo haina mwisho, lakini inaweza kuanza kwa maombi rahisi. Tumia maombi haya kukuongoza.

“Mungu, najua kwamba nimefanya dhambi. Ninatambua kwamba dhambi yangu imenitenga na wewe. Ninaamini kwamba Yesu alikufa msalabani kwa ajili ya dhambi yangu na kwamba alifufuka tena siku ya tatu. Nijuavyo jinsi ninavyogeuka kutoka kwa dhambi yangu kwa kuweka imani katika yale ambayo Yesu amenifanyia. Katika jina la Yesu, ninaomba, Amina.”
Ikiwa umeweka imani katika Yesu leo, tuna kuhimiza kuwambia wengine.

Naamini. Nini Kinachofuata?

Unapoanza uhusiano huu na Mungu, tunataka kutoa habari fulani ambayo itakusaidia kumfuata Yeye. Ikiwa una maswali zaidi kuhusu wokovu au kama unafundisha Hii Ndiyo Injili kwa mtu binafsi au kikundi, anza na Wito. ikiwa unajifunza kumfuata Yesu kibinafsi, unaweza kuanza na Uhusiano, kisha Kufuatilia, na hatimaye, Safari.

See the Impact

Since 2012, we have been on a mission to see gospel transformation globally. These numbers represent the data collected through trainings and received from organizations using This Is The Gospel.
Translations of This is the Gospel are accessible to 4.9 billion people or 61% of the world’s population.
0
Pastors & Ministry Leaders Trained Globally
0
Professions of Faith
0
People Baptized
0
New Churches Planted
0
Translations of This is the Gospel are accessible to 4.9 billion people or 61% of the world’s population.
0
Pastors & Ministry Leaders Trained Globally
0
Professions of Faith
0
People Baptized
0
New Churches Planted
0